Numbers 2:31

31 aWanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao.
Copyright information for SwhNEN